Boko Haram Nigeria wateketeza tena!!!
26
Wauawa nchini Nigeria!!.
Watu 26 nchini Nigeria wauawa katika shambulio lililo
fanywa na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la boko Haram hili ikiwa ni shambulizi lililo tokea
hivi karibuni wakati nchi hiyo ikiwa katika
kitendawili cha kuwatafuta na kuwaokoa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa
na kundi nhilo nchini humo.
Shambulizi hilo lilifanyika katika kijiji kimoja kilichopo kaskazini mashariki mwa Nigeria karibu na eneo ambalo wasichana hao walitekwa mweai jana na kundi hilo la bokO Haram.
Hata hivyo shambulio hilo limetokea baada ya milipuko
miwili kutokea mjini jos katika jimbo la plateau lililo sababisha vifo vya watu
takribani 118 jumanne usiku ikiwa mpaka sasa juhudi za kutafuta maiti hao
zikiwa bado zinaendelea.
0 comments:
Post a Comment