Kundi la P.SQUARE sasa matatani kuvurugika!!!!.
Na huu ndio mwanzo mwisho wa P Square.
Ikiwa muda si mrefu ndani ya Wiki hii mitandao ya Nigeria ililipoti
kuwa kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya mapacha wanaounda kundi la PSquare, yaani
Peter na Paul Okoye iliyopelekea mpaka kutaka kuvunjika kwa kundi hilo
machachari la jijini NIGERIA kutokana na kashfa kwamba walitaka kupigana wakati
wakiwa mazoezini.
Inasemekana kuwa chanzo kikubwa cha ugomvi wao ulichochewa na mitandao ya kijamii (tweeter) ambapo kutokana na tweet ya kaka yao mkubwa ambaye pia ni meneja wao, Jude Okoye iliyootafsiriwa na mitandao hiyo kuwa huenda ameachana na kundi hilo baada ya kuwepo ugomvi kati yake na ndugu hao kutokana na msimamo wake wa kutohudhuria ndoa ya kisasa ya mdogo wake itakayofanyika huko nchini Dubai.
Mitandao hiyo iliandika kuwa Jude Okoye hapatani kabisa na mke wa Peter Okoye, Lola Omotayo ambaye ndiye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.
Na hii ndio tweet ya Jude Okoye “After over 10 years of hard work, it’s over. Am done.” Ambayo ndio inaleta utata kwa mitandao ya NIGERIA juu ya kundi hilo.
Lakini uvumi huo uliweza kanushwa na msemaji mkuu wa kundi hilo anaejulikana kwa jina la Bayo Adetu wakati akiongea na Premium Times na kudai kuwa yeye hafahamu habari hizo zimetoka wapi.
“I am too busy to give some wanna be blogger traffic, I don’t know where that report is coming from. Maybe they just want to get traffic to their site. It’s baseless and untrue.” Amesema Bayo Adetu.

Source:-
African Sportlight
0 comments:
Post a Comment